
HII HAPA RATIBA LIGI KUU BARA
BAADA ya Mzizima Dabi kukamilika Februari 21 na ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-1 Azam FC leo Ligi Kuu Bara inatarajia kuendelea. Ni mchezo wa wakusanya mapato KMC v Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Yanga 1-0 KMC. Hivyo mchezo wa leo…