
NABI: HATURUDII MAKOSA KWA MONASTIR
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawatarudia makosa kwenye mechi yao dhidi ya US Monastir kwa wachezaji wa timu hiyo kusaka matokeo mapema jambo linaoongeza nguvu ya kujiamini na kucheza kwa utulivu. Timu hiyo inashiriki Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa hatua ya makundi inasaka pointi tatu ili kufikisha malengo ya kutinga hatua ya…