
YANGA YAPENYA TANO CAF TIMU BORA
KLABU ya Yanga imetinga hatua ya tano bora kuwania tuzo ya klabu bora kwa wanaume kutoka CAF kwa mwaka 2023. Ikumbukwe kwamba Yanga kwenye Kombe la Shirikisho Afrika 2022/23 waligotea nafasi ya pili na katika ligi ya ndani walitwaa taji la Ligi Kuu Bara. Zama hizo ilikuwa inanolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi na kwa…