DULLAH MBABE KAPIGWA TENA NA UBABE WAKE

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe ameendelea kuwa mteja wa mpinzani wake Tshimanga Katompa raia wa DR Congo kufuatia kukubali kichapo kwa mara ya pili mfululizo. Katika pambano hilo ambalo limepigwa juzi usiku kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha chini ya promosheni ya Red in Lady Promotion inayoongozwa…

Read More

BOSI SIMBA AMEFUNGUKA MWENDO WA TIMU NA UGUMU ULIOPO

MENEJA wa idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa mwendo ambao wanakwenda nao kwenye mechi za kimataifa haujawa mzuri jambo linalowaongezea ugumu kupata matokeo kwenye mechi zijazo. Timu hiyo Novemba 25 ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Hatua ya Makundi….

Read More

BODI YA FILAMU YAKAMILISHA MCHUJO TUZO 2023

BODI ya Filamu Tanzania imekamilisha mchujo wa pili wa filamu ambazo zitakwenda kushindaniwa katika kupata washindi wa Tamasha la tuzo za Filamu kwa mwaka 2023. Katibu Mkuu wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msingwa alisema kuwa Tuzo za Filamu Tanzania zimechochea uanzishwaji wa tuzo nyingine hapa nchini, ikiwemo zile za wadau kupitia vyama ambavyo wamevianzishwa…

Read More

MWANZO MBAYA KIMATAIFA IWE NI SOMO KWA VITENDO

WAWAKILISHI wa kimataifa kwenye mechi za kimataifa nyumbani na ugenini hakuna ambaye ameanza kwa mwendo mzuri.Ipo wazi kuwa ni mwendo mbovu wameanza nao kwa kushindwa kupata matokeo. Kutokana na kuanza hivyo kwa kushindwa kushinda huku wachezaji wakionekana kutotumia nafasi wanazotengeneza ni muhimu kutumia ubovu huo kuwa darasa huru kwenye mechi zinazofuata. Yanga na Simba katika…

Read More