
USITUPE NGUVU ZAKO BURE KUONYESHA TFF YA KARIA HAIJALETA AFCON TANZANIA
NIMEONA zinafanyika juhudi kubwa kuhakikisha inaonekana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) hawahusiki na lolote kwa Tanzania kupata wenyeji wa mashindano ya Afcon mwaka 2027. Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limeipa Tanzania nafasi ya kuandaa Afcon mwaka 2027 pamoja na nchi mbili jirani yetu za Kenya na Uganda. Hii inakuwa ni mara ya kwanza kwa nchi…