AZAM FC HAWAPOI

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Yusuph Dabo amesema kuwa kikubwa ambacho wachezaji wake wanatakiwa kukifanya ikiwa ni pamoja na kiungo Feisal Salum, mshambuliaji Prince Dube ni kujitoa muda wote kutafuta ushindi. Timu hiyo maskani yake ni Dar inatumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani. Kwenye ligi baada ya kucheza mechi mbili ni…

Read More

SIMBA WAKUTANA NA KISANGA UGENINI

NGOMA ni nzito kwa Simba kimataifa baada ya kuruhusu mabao mawili sawa na Yale waliyofunga licha ya kupata nafasi zaidi ya tatu. Ni kisanga kwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira raia wa Brazil ambaye alianza kushuhudia wakitunguliwa mapema ugenini. Mabao yote ya Simba yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 59 na 90 huku…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE KWENYE JAMBO LA WATANZANIA

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa mchezo wao wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Future ya Misri unaotarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Azam Complex ni jambo la Watanzania. Timu hiyo inatupa kete yake saa 10 jioni huku mashabiki wakiombwa kujitokeza kwa wingi kuishangalia timu hiyo inayopeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga…

Read More