 
        
            YANGA MWENDO WA 5 G KWENYE LIGI
MWENDO wa 5G kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga kwa wapinzani wao unaendelea. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Yanga 5-0 JKT Tanzania. Kasi ya ufungaji kwa Yanga ilizidi kipindi cha pili yalipofungwa mabao manne na kipindi cha kwanza ilikuwa bao moja. Aziz KI alifungua pazia dakika…
 
         
         
         
        