YANGA YAFANYA KWELI KIMATAIFA

UKIWA ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja wa Azam Complex Yanga wamepeta kwa kufanya kweli katika mchezo wa awali uliochezwa Agosti 20. Kukiwa na mabadiliko kwenye kikosi cha Miguel Gamondi pamoja na aina ya uchezaji mchezo huo baada ya dakika 90 ubao umesoma ASAS Djibouti 0-2 Yanga. Ni Aziz Ki dakika ya 22…

Read More

DANADANA ZA LAVIA ZIMEGOTA MWISHO, LIVERPOOL NDO BASI

BAADA ya danadana za kutosha, hatimaye Chelsea imekamilisha usajili wa kiungo rasta, Romeo Lavia kutoka Southampton. Kiungo huyo kinda ambaye timu yake ya Southampton ilishuka daraja msimu uliopita alikuwa akitakiwa kwa ukaribu zaidi na Liverpool lakini akachagua Chelsea ambayo amejiunga nayo kwa ada ya pauni mil 53 kukiwa na nyongeza ya pauni mil 5. Lavia…

Read More

SIMBA YAKOMBA POINTI TATU MBELE YA WALIMA ZABABI

UBAO wa Uwanja wa Uhuru Agosti 20 baada ya dakika 90 za jasho wa wanaume 22 kusaka pointi tatu umesoma Simba 2-0 Dodoma Jiji. Mabao ya Simba ya pira Uturuki yamefungwa katika vipindi viwili tofauti, dakika ya 43 kupitia kwa Jean Baleke ambaye alikuwa wa kwanza kuwatungua wazee wa pira Zabibu. Kipindi cha pili ni…

Read More

NANI KUVUNJA REKODI YA MAYELE YANGA?

USIKU wa deni haukawii kukucha, ndivyo unavyoweza kusema kwani hatimaye kivumbi cha mashindano ya kimataifa yaani Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kimeanza kutimua vumbi rasmi Ijumaa na kinatarajiwa kuendelea wikiendi hii. Kwa upande wa Tanzania Bara msimu huu tunatarajiwa kushirikisha timu nne katika mashindano hayo, ambapo timu za Yanga na Simba…

Read More

SIMBA 1-0 DODOMA JIJI, UWANJA WA UHURU WANAPATA TABU

LINAPIGWA pira Uturuki v Pira Zabibu Uwanja wa Uhuru huku ukuta wa Dodoma Jiji ukiwa imara kuwakabili wapinzani wao. Licha ya nguvu walizonazo Dodoma Jiji kuwazuia washambuliaji wa Simba wakiongozwa na Jean Baleke ni mashuhuda ubao ukisoma Simba 1-0 Dodoma Jiji. Jean Baleke ametupia bao dakika ya 43 kwenye Uwanja wa Uhuru ambao timu zote…

Read More

MASTAA SIMBA WATATU MAJANGA

MASTAA watatu wa Simba wameanza kwa majanga msimu wa 2023/24 kutokana na kupata maumivu wakiwa kwenye majukumu yao. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Simba ilishuhudia bingwa wa ligi akiwa ni Yanga chini ya kocha Nasreddine Nabi ambaye hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga kwa msimu wa 2023/24. Yanga kwa sasa ipo chini ya Kocha Mkuu,…

Read More

HIVI NDIVYO MPANGO KAZI WA GAMONDI KIMATAIFA

UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua kuanza katika kikosi cha timu hiyo, kitakachovaana dhidi ya ASAS FC ya nchini Djibouti. Yanga itavaana dhidi ya ASAS katika mchezo wa hatua ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa leo Agosti 20 Jumapili kwenye Uwanja wa Azam Complex, Mbagala Jijini…

Read More