
BINGWA WA EPL HUYU HAPA
MSIMU wa Ligi Kuu ya England umeanza kutimua vumbi jana Ijumaa, kwa michezo miwili kupigwa ambapo mabingwa watetezi Manchester City walifungua pazia la kampeni ya kutetea taji lao ugenini mbele ya Burnley, huku mabingwa wa Ngao ya Jamii, Arsenal wao wakianzia nyumbani dhidi ya Nottingham Forest. Tayari joto la matokeo limezidi kuwa kubwa kwa mashabiki…