
NGUMU KUIKATAA DAWA, FUNGA MSIMU YA KILIO NA TABASAMU
NGUMU kuikataa dawa pale ugonjwa unapozidi ipo hivyo kutokana na kila mmoja kupambania malengo yake.Msimu umefungwa kwa jasho, kilio na tabasamu kwa waliofikia mipango yao. Msimu wa 2022/23 umefungwa na kila kitu kimeshuhudiwa ndani ya uwanja kwa timu kupambana huku Polisi Tanzania na Ruvu Shooting hawa wakianza maisha mapya ndani ya Championshi. Hapa tunakuletea baadhi…