Home Sports TANZANIA PRISONS 0-1 YANGA

TANZANIA PRISONS 0-1 YANGA

FISTON Mayele anachojua ni kufunga mengine weka kando kambani ni mabao 17 kwenye Ligi Kuu Bara.

Ubao wa Uwanja wa Sokoine unasoma Tanzania Prisons 0-1 Yanga ikiwa ni mchezo wa ligi.

Bao hilo amepachika dakika ya 33 akiwa ndani ya 18 akitumia pasi ya Sure Boy.

Yanga leo watakabidhiwa ubingwa wao wakiwa ardhi ya Mbeya, Uwanja wa Sokoine.

Mayele anaongoza kwa mabao ndani ya Yanga akiwa ni namba moja anapambania kutwaa tuzo ya ufungaji bora.

Previous articleSIMBA 3-1 COASTA UNION
Next articleTANZANIA PRISONS YAPOTEZA MBELE YA YANGA