MAMELODI MWENDO UMEGOTA, WAARABU HAO FAINALI
MAMELODI Sundowns ya Afrika Kusini imegotea katika hatua ya nusu fainali katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Sare ya kufungana mabao 2-2 Wydad Casablanca Waarabu kutoka Morocco imewaondoa kwenye reli wababe kutoka Afrika Kusini. Ni mabao ya Themba Zwane dakika ya 50 na Peter Shalulile dakika ya 79 kwa upande wa Mamelodi Sundowns ilikuwa hivyo. Wydad…