AZAM FC HESABU KWA RUVU SHOOTING
AZAM FC hesabu zao kwa sasa ni mchezo ujao dhidi ya Ruvu Shooting ambao unatarajiwa kuchezwa Morogoro. Katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara, Azam FC iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar. Kituo kinachofuata ni Aprili 22 ukiwa ni mchezo wa kufunga mwezi kuukaribisa Mei. Kali Ongala, Kocha Mkuu wa Azam…