CITY YAPIGA MTU KIFURUSHI CHA WIKI

MANCHESTER City kwenye mchezo wa UEFA Champions League wamemchapa RP Leipzig mabao 7-0. Uwanja wa Etihad ulisoma hivyo na kuwapa nafasi ya kusonga mbele kwa jumla ya mabao 8-0. Ni Erling Haaland alitupia kambani dakika ya 22 kwa mkwaju wa penalti, 24,45,53 na 57 mwamba aliwapa tabu Sana. Ilkay Gubdogan alitupia dakika ya 49 na…

Read More

KUMBE GEITA GOLD WALIPANGIWA KOSI LA CAF MECHI YA LIGI

BAADA ya Geita Gold kuambulia kipigo cha mabao 3-1  kutoka kwa Yanga ,Mkurugenzi wa  Geita Gold Zahar  Michuzi  amefunguka na kusema kuwa Yanga  waliwapangia kikosi cha CAF. Mchezo huo ulipigwa  wikiendi hii Jumapili  kwenye Uwanja wa Chamazi ambapo Geita Gold ilianza kufunga kisha ikakwama kushinda mchezo huo. Mwenyeketi wa Geita Gold Zahar amesema “Kitendo cha…

Read More

KIMATAIFA MUHIMU KUUNGANA KUTUSUA

IKIWA watakuja wageni na kuondoka na ushindi nyumbani kweye hatua za makundi mechi za kimataifa ni maumivu makubwa kwelikweli. Hiana maana kwamba waohawana uwezo wa kushinda lakini ni namna ya uhitaji ulivyo mkubwa kwa sasa kwa kila timu hasa Simba na Yanga. Mechi za nyumbani kwa kila mmoja kwa sasa zimeshikilia maamuzi ambayo yataleta hatua…

Read More