
YANGA YASEPA NA POINTI TATU ZA GEITA
YANGA imeibuka na ushindi kwenye mchezo wake wa ligi dhidi ya Geita Gold ikiwa ni mzunguko wa pili. Ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Yanga 3-1 Geita Gold. Ni Geita Gold wao walianza kupachika bao la kuongoza mapema kipindi cha kwanza dakika ya 19 kupitia kwa Elias Maguli ambalo lilidumu mpaka muda wa mapumziko….