
HAALAND THAMANI YAKE EURO BILIONI 1
UMESIKIA hiyo, thamani ya staa wa Manchester City, Erling Haaland kwa sasa ni euro bilioni 1. Haya yameelezwa na wakala wa staa huyo, Rafaela Primenta ambaye anamsimamia Haaland na mastaa wengine akiwemo Paul Pogba, Marco Verratti, Gianluigi Donnarumma, Matthijs de Ligt. Staa huyo ndani ya Manchester City kwenye Premier msimu huu amefanikiwa kufunga mabao 26,…