
RUVU SHOOTING INAPAMBANA KUREJEA KWENYE UBORA
UONGOZI wa Ruvu Shooting umeweka wazi kuwa kwa sasa unapambana na hali waliyonayo kurejea kwenye ubora. Timu hiyo haijawa kwenye mwendo mzuri kutokana na kushindwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi za ligi. Mchezo wake uliopita ilipoteza pointi tatu kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Geita Gold, Uwanja wa Nyankumbu mchezo wao ujao ni dhidi ya…