
SIMBA YATAMBA, KINATOKA CHUMA KINAINGIA CHUMA
SIMBA yatamba kuhusu usajili wao, kinatoka chuma kinaingia chuma
SIMBA yatamba kuhusu usajili wao, kinatoka chuma kinaingia chuma
AZIZ Ki kiungo wa Yanga ni miongoni mwa mastaa ambao wameanza mazoezi kwa ajili ya mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumatatu, Uwanja wa Mkapa Januari 23,2023. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa wameweka kibindoni pointi 53 kwenye mechi 20 ambazo wamecheza wamepoteza mchezo mmoja pekee. Mbali…
KIBINDONI ana mabao 7 ndani ya Ligi Kuu Bara nyota huyu wa Singida Big Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Hans Pluijm. Bao lake la saba aliwatungua Kagera Sugar ilikuwa Uwanja wa Liti, Januari 17 ubao uliposoma Singida Big Stars 1-0 Kagera Sugar ilikuwa dakika ya nne. Baada ya kutupia bao hilo alionyesha fulana yenye maneno…
Kila mtu huwa na sehemu anayoipenda Zaidi ambayo inampatia furaha kila siku, Chimbo lako ni moja tu kama ukitaka kubeti wikiendi hii jiunge na familia ya Meridianbet ushindi ni uhakika, kila mechi wanatoa Odds Bomba za Ushindi. Wikiendi hii ni ya moto mno usipime mtu wangu, utaelewa ni kwanini nakwambai ya moto ebu fikiria moto…
ILIKUWA mwendo wa msako wa pointi tatu kwa timu zote mbili ambazo msimu wa 2022/23 zimekuwa zikionyeshana ubabe haswa ndani ya dakika 90. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliviera iliyotamba kuja na pira Samba Loketo liligongwa nyundo kinomanoma na Mbeya City inayonolewa na Adallah Mubinu. Mchezo wa fungua mwaka 2023 kwa Simba na mchezo…
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo awali ulitarajiwa kuchezwa Januari 21 lakini umepelekwa mbele mpaka Januari 23,2023 Uwanja wa Mkapa. Kamwe amebainisha kuwa wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu lakini wapo tayari kupata ushindi. “Moja ya…
KIKOSI cha Simba kimewasili Dodoma,makao makuu ya Tanzania leo Januari 20,2023. Chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera kikosi hicho kilianza safari mapema leo mchana kutoka Dar. Mchezo huo utakuwa ni wa pili kwa Oliviera baada ya ule wa kwanza kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 3-2 Mbeya City. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo…
Mwezi huu wa Januari ukiachana na tabu ndogo ndogo za kimaisha pale Meridianbet wakali wa odds bomba na kubwa, unaambiwa ni shangwe juu ya shangwe, Ile promosheni ya kijanja mjini sasa imerudi tena baada ya kutoa kutoa Smartphone kibao, bajaji, TV na Bodaboda kwa washindi wetu hatimaye tena Beti na Kitochi imekuja kivingine. Unaambiwa hivi…
MCHEZO wa mpira ni mchezo wa makosa na wanasema ukifanya kosa moja unaadhabiwa na mpinzani wako. Miongoni mwa mchezo ambao ulikuwa unasubiriwa kwa shauku kubwa ni ule wa fungua mwaka kwa Simba iliyoweka kambi Dubai kwa muda. Pia ilikuwa na kocha mpya kwenye benchi ambaye ni Robert Oliviera hakika mashabiki walikuwa wanasubiri kuona namna kazi…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC hesabu zao kwa sasa ni mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars, wakulima wa Alizeti. Timu hiyo imetoka kushinda mchezo wao uliopita na inakutana na Singida Big Stars ambayo nayo imeshinda mchezo wake uliopita. Singida ilishinda bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar ikiwa ugenini, Uwanja…
CHAMA atao tamko Simba, beki mpya Yanga SC anachomolewa kambini, kutua leo Dar ndani ya Championi Ijumaa
PUMZIKA kwa amani Mohammed Banda, uangalizi zaidi kwa timu za vijana unahitajika kuokoa wengine. Ni pigo kwenye ulimwengu wa michezo Bongo lakini ni muhimu pia kuongeza umakini kwenye eneo la vijana kutokana na matatizo haya kutokea Januari 19,2023 Uongozi wa Singida Big Stars ulitoa taarifa kuhusu kutangulia mbele za haki kwa kijana Banda. Taarifa hiyo…
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar Vitalis Mayanga ataonekana ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani akitumia jezi namba 27. Alikuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania anaanza changamoto mpya ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Salum Mayanga. Mshambuliaji huyo msimu uliopita hakuwa kwenye mwendo bora ndani ya kikosi cha…
Nabi awachambua Mayele, Musonda, Mbrazil abadili mfumo Simba ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho amewaambia wachezaji wake ni kucheza kwa umakini kila mechi. Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo bora msimu huu ambapo imepoteza mchezo mmoja kati ya 20 kibindoni ina pointi 53. Mchezo wake wa fungua mwaka ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu katika mchezo uliochezwa Uwanja…
UONGOZI wa Singida Big Stars umeweka wazi kuwa hatma ya nyota wao ambao hawajashiriki Kombe la Mapinduzi itajulikana hivi karibuni baada ya ripoti kukamilika Ofisa Habari wa Singida Big Stars, Hussein Masanza amesema kuwa wachezaji hao hawakuhsiriki kombe hilo kwa sababu maalumu. “Tambwe ni mchezaji wetu na amecheza zaidi ya mechi 12 za ligi na…