
NAMUNGO KAMILI KUIKABILI KMC
MCHEZO uliopita Namungo FC iliyeyusha pointi tatu mazima ikiwa nyumbani. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Majaliwa ulisoma Namungo 0-2 Polisi Tanzania. Leo Januari 24 kikosi hicho kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya KMC yenye maskani yake Kinondoni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru. Nyota Shiza Kichuya ameweka wazi kuwa…