MTAMBO WA MABAO SIMBA KUIKOSA DODOMA JIJI
KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba, nyota wa timu hiyo Clatoous Chama hatakuwa sehemu ya kikosi. Chama ni namba moja kwenye kutengeneza pasi za mabao akiwa ametoa asi 12 na kufunga mabao matatu. Kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City nyota huyo alitoa pasi…