Home Sports NYOTA HUYU WA DODOMA JIJI TARATIBU ANAKUJA

NYOTA HUYU WA DODOMA JIJI TARATIBU ANAKUJA

MIONGONI mwa vijana wanaokipiga ndani ya Dodoma Jiji kwa wakulima wa Zabibu ni pamoja na Zidane Omary Sereli.

Nyota huyo kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar alianza benchi akisoma mchezo utakavyokuwa.

Katika mchezo wa wa Januari 14 dhidi ya Geita Gold alianza kikosi cha kwanza.

Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Nyankumbu, Geita Dodoma Jiji ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 na kuyeyusha pointi tatu mazima.

Kituo kinachofuata ni Januari 22 dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Previous articleBONANZA SEKTA YA UCHUKUZI USHINDANI MKUBWA
Next articleMTAMBO WA MABAO SIMBA KUIKOSA DODOMA JIJI