
ISHU YA KAMBI YA YANGA MORO IPO HIVI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa suala la kambi kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 lipo mikononi mwa benchi la ufundi. Mpango wa awali wa Yanga kuweka kambi ilikuwa ni nchini Tunisia na imeelezwa kuwa mpango huo umewekwa kando kutokana na muda kutajwa kuwa mdogo. Pia habari zinaeleza kuwa kwa sasa wanatarajia kwenda kuweka kambi…