IKAWE KARIAKOO DABI YENYE UTULIVU MKUBWA
WAKATI mwingine furaha huwa inabebwa na maumivu jambo ambalo linafanya maisha yaendelee kuwa maisha hakuna namna ni hali halisi ilivyo. Ikiwa upo kwenye mazingira mazuri basi huo uzuri acha uendelee kunogeshwa na yale ambayo yatatokea ndani ya Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba. Hakika unatarajiwa kuwa…