
BREAKING:BEKI WA KAZI AONGEZA DILI ZITO NDANI YA SIMBA
RASMI mabosi wa Simba na beki wao wa kati Henock Inonga wamefikia makubaliano ya kumuongezea dili nyota huyo mpaka 2025. Kandarasi ya Inonga ilikuwa inagota ukingoni mwishoni wa msimu wa 2022/23. Kutokana na uwezo wake pamoja na kuwa mtu wa kazi ameongezewa dili jingine ikiwa ni zawadi ya Christmas kwa mashabiki wa Simba. Inonga ana…