
MESSI ALIKIWASHA LICHA YA KUKOSA PENALTI
GWIJI wa soka wa England na beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdind amekiri kuwa nahodha wa Argentina, Lionel Messi alikuwa katika kiwango bora juzi Jumatano kwenye mchezo wa Kombe la Dunia. Jumatano timu ya taifa ya Argentina ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Poland katika mchezo wa Kombe la Dunia na kufuzu hatua ya…