
KUUMIA KWA PHIRI SIMBA PASUA KICHWA USHAMBULIAJI
KUUMIA kwa mshambuliaji tegemeo wa Simba, Moses Phiri kunalipasua kichwa benchi la ufundi kwa kuwa kila wakifikiria nani atapewa mikoba yao wanavurugwa. Kibu Dennis uwezo wake kwa msimu wa 2022/23 umekuwa mbovu kwa kuwa kila anapopata nafasi maamuzi yake anayajua mwenyewe. John Bocco nahodha wa Simba mwenye mabao matano bado kasi yake ile ya utupiaji…