![YANGA YAITULIZA POLISI TANZANIA, MAYELE NAMBA MOJA](https://salehjembe.co.tz/wp-content/uploads/2022/12/Mayele-v-Polisi-Tz.jpg)
YANGA YAITULIZA POLISI TANZANIA, MAYELE NAMBA MOJA
NYOTA Fiston Mayele nyota namba moja wa kikosi cha Yanga leo amepachika bao lake la 11 ndani ya Ligi Kuu Tanzania. Katupia bao hilo wakati wakishinda mabao 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo uliochezwa Uwanjawa Mkapa. Dakika 45, vijana Polisi Tanzania chini ya Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera walikomaa na kulinda ngome isifungwe huku wao…