
YANGA YACHAPA MTU BAO 8-0 KWA MKAPA
KAMPENI ya kutetea ubingwa wa Kombe la Azam Sports Federation umeanza kwa ushindi mbele ya Kurugenzi. Ni Yanga ambao ni watetezi wameibuka na ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Kurugenzi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Shukrani kwa Clement Mzize ambaye amefung bao la mapema ndani ya Kombe la Shirikisho dakika ya kwanza na aliibuka…