BINGWA MPYA WA TFF BONANZA APATIKANA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi Kombe Mabingwa wa 3rd TFF Media Day Bonanza 2022 Uhuru Media na kuweka wazi kuwa wakati ujao kutakuwa na maboresho zaidi. Uhuru Media imepata ushindi huo kwa kuwatungua bao 1-0 Online Media kwenye Bonanza ambalo limefanyika Uwanja wa Gwambina. Moja ya fainali iliyokuwa…

Read More

SIMBA KAMILI KUVAANA NA WAJEDA, REKODI ZAO ZINAWATESA

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wake Eagle kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho yapo tayari. Hawa ni Wajeda wanakabiliana na Simba ambayo iliukosa ubingwa huo mwaka jana 2021 na mabingwa walikuwa ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Simba haijawa na mwendo…

Read More

AZAM FC YAISHUSHIA KICHAPO MALIMALO

MCHEZO wa Raundi ya Pili, Azam Sports Federation, Desemba 9,2022 ikiwa ni siku ya kumbukizi ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania ni mabao 9, Azam FC walipata. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 9-0 Malimao FC. Ilikuwa mwendo wamojamoja kwa watupiaji wa Azam FC ikiwa ni pamoja…

Read More

MSHINDI WA PROMOSHENI YA BETI NA KITOCHI MERIDIANBET

Kila mmoja ana ndoto kubwa ya kumiliki vitu vizuri, lakini vikwazo vya Maisha na bajeti kubana hukwamisha ndoto ya wengi kumiliki vitu wanavyovitaka, kwa kulitambua hili kampuni ya Meridianbet waliamua kurahisha mipango yako, kwenye promosheni ya shinda TV ukibeti na kitochi. Ilichukua siku kadhaa mpaka kumpata Bingwa wa kubeti na kitochi mwanafamilia wa Meridianbet anayejulikana…

Read More