
MTAMBO WA MABAO WAREJEA AZAM FC
NDANI ya kikosi cha Azam FC namba moja kwa utupiaji ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao sita kibindoni. Hakuwa kwenye mechi za mwisho za mzunguko wa ligi kwa kuwa hakuwa fiti lakini tayari kwa sasa ameanza mazoezi kwa ajili ya kurejea uwanjani mzunguko wa pili. Miongoni mwa mechi ambayo alikosekana ni ile yakufungia mzunguko wa…