
SUALA LA MZUNGU WA SIMBA LIWE SOMO KWA WENGINE
IMESHATOKEA mwanzoni kabisa msimu wa 2022/23 wakati wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika Simba wakiwa kwenye maandalizi. Tukio ambalo kila kiongozi analishangaa kwa nini limetokea na kwa nini imekuwa hivyo wakati ambao hawakutarajia. Ni kweli kwa namna ilivyotokea lazima kila mmoja atapambana kuonyesha kwamba hakutarajia kuona inatokea ilihali ukweli unajulikana. Mkataba wao ambao…