
MERIDIANBET WAUNGA MKONO KAMPENI YA BUKU YA HEDHI SALAMA
Meridianbet wameunga mkono jitihada za kampeni ya Buku ya Hedhi salama inayoratibiwa na Shufaa Hemed Nasoro. Kampeni hii ilikuwa imelenga kuchangisha michango ya kiwango cha angalau shilingi elfu moja kuwasaidia mabinti ambao wanapata changamoto za kumudu gharama za taulo za kike. Meridianbet, ambao ni wadau wakubwa wa shughuli za kijamii, wanaona umuhimu wa hedhi salama…