
RUVU SHOOTING: TUMEJIPANGA KUFANYA VIZURI
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting ameweka wazi kuwa msimu huu wamejipanga kufanya vizuri kwenye mechi zao zote watakazoshuka uwanjani. Bwire ameongeza kuwa msimu huu ni tofauti na uliopita jambo linawapa nguvu ya kuongeza juhudi ili kuleta ushindani. “Msimu huu ni watofauti na kila timu inahitaji ushindi nasi tupo tayari ukizingatia kwamba tumefanya usajili…