VIDEO:KOCHA NABI ABAINISHA UCHOVU UNAWASUMBUA WACHEZAJI
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wanasumbuliwa na tatizo la uchovu kutokana na kucheza mechi mfululizo lakini apo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC unaotarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Mkapa