
MBWANA SAMATTA NI KRC GENK
AGOSTI 16,2022 Klabu ya KRC Genk imemtambulisha Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, Mbwana Samatta kuwa ni nyota wao mpya. Samatta anarejea kwenye klabu hiyo baada ya kupata changamoto mpya Januari 2020 na kuhamia Klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England. Samatta amejiunga na Genk akitokea Klabu ya Fenerbahçe kwa mkataba wa mwaka…