MATOKEO KIDATO CHA SITA 2022 HAYA HAPA

Unguja. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87. Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana….

Read More

PSG YAMFUTA KAZI POCHETTINO,KOCHA MPYA ATANGAZWA

KLABU ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa imemtimua kazi kocha wake raia wa Argentina Mauricio Pochettino ikiwa ni baada ya kuwa klabuni hapo kwa kipindi cha mwaka mmoja tu. Pochettino ambaye amewahi kuwa kocha wa Totenham Hotspurs ya nchini Uingereza ametimuliwa kibaruani baada ya kutokuwa na matokeo mazuri katika mashindano ya Klabu Bingwa Barani…

Read More

KAKOLANYA NI SHUJAA DK 540

KIPA namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya kwa msimu wa 2021/22 amekaa langoni kwenye mechi 9 za ligi ambapo aliweza kufungwa kwenye mechi tatu. Tupo naye kwenye mwendo wa data kuangalia kile ambacho alikifanya katika kutimiza majukumu yake namna hii:- Dk 540 za ushujaa Kwenye mechi 6,Kakolanya alikuwa shujaa kwa kuweka lango salama ambapo hakuweza…

Read More

SUALA LA MKATABA KUVUNJWA KYOMBO LAFAFANULIWA

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Singida Big Stars iliyo na maskani yake mkoani Singida Hussein Massanza amesema kuwa mchezaji aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Klabu ya Mbeya Kwanza iliyoshuka daraja Habibu Kyombo ameiomba klabu hiyo kuvunja mkataba kutokana na kuwa na malengo makubwa zaidi. Meneja huyo amebainisha kuwa Kyombo alitoa sababu ambazo…

Read More

HAJI MANARA AOMBA MSAMAHA KWA RAIS WA TFF

 HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amemuomba msamaha Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Wallace Karia kutokana na tukio lililotokea Jijini Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam. Mara baada ya mchezo huo kuna video iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Ofisa huyo wa Yanga akijibizana au…

Read More

HAWA HAPA WATATU WANAWANIA TUZO YA KIUNGO BORA

NYOTA watatu wanawania tuzo ya kiungo bora kwa msimu wa 2021/22 ambazo zinatarajiwa kufanyika Julai 7,2022 baada ya ligi kukamilika. Mabingwa wameshajulikana ambao ni Yanga waliotwaa ubingwa baada ya kufikisha pointi 74 walipocheza mechi 30. Viungo wote watatu kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania ni mali ya Yanga ambapo ni Feisal…

Read More

PAPE AWEKA REKODI,ABEBA TUZO YAKE YA FUNGA MSIMU

PAPE Sakho,mzee wa kunyunyiza staili yake ya kushangilia ameweza kuweka rekodi ya kuwa kinara wa pasi ndani ya kikosi cha Simba baada ya kumaliza na pasi za mabao 5. Kiungo huyo raia wa Senegal kwa msimu uliomeguka wa 2021/22 ni mechi 22 alicheza na kuyeyusha dk 1,355 na katupia mabao 6. Kahusika kwenye mabao 10…

Read More

USAJILI WA RUVU SHOOTING NI WA MKAKAKATI

 UONGOZI wa Ruvu Shooting umeweka wazi kuwa usajili wa msimu ujao utakuwa ni wa kimkakati kwa kuwa awali walikuwa wanasubiri ligi kuisha. Ruvu ina uhakika wa kucheza ligi msimu ujao wa 2022/23 baada ya kukamilisha ligi ikiwa na pointi 34 baada ya kucheza mechi 30. Masau Bwire,Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa walisitisha mpango…

Read More

CITY YAPATA KIPA MPYA MPAKA 2028

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Uingereza Klabu ya Manchester City imetangaza kukamilisha dili la kumsaini kiungo mkabaji wa Klabu ya Leeds United raia wa Uingereza Kalvin Phillips kwa mkataba wa miaka 6 ambao unatarajiwa kumalizika majira ya joto mwaka 2028. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 amesajiliwa kwa kiasi cha paundi milioni 45 ambazo…

Read More