KOCHA MPYA SIMBA ATUA NA MAJEMBE MATATU YA KAZI

UNAAMBIWA mchakato wa kupitia wasifu wa kumpata Kocha Mkuu wa Simba atakayerithi mikoba ya Pablo Franco, umekamilika na kwamba, kocha ajaye muda si mrefu atatangazwa kikosini hapo. Hadi kufikia jana, kulikuwa na makocha wawili ambao walikuwa wakiangaliwa kwa mara ya mwisho ili mmoja kupitishwa akiwemo kocha wa zamani wa RS Berkane ya Morocco raia nchi…

Read More

USAJILI WA KIUNGO MNIGERIA SIMBA KAMA MUVI

NI kama muvi! Ndivyo utakavyoweza kusema baada ya Simba kuwazidi ujanja Azam FC katika usajili wa kiungo mkabaji wa Coastal Union, Victor Akpan na kumpa mkataba wa miaka miwili. Timu hizo mbili zilikuwa katika vita kubwa ya kuwania saini ya kiungo huyo raia wa Nigeria aliyekuwa anawaniwa vikali na Azam katika kuimarisha safu yao ya…

Read More

TULIA AIPA TANO TASWA FC,M-BET WATOA NENO

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson ameipongeza timu ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini (Taswa SC) na Bunge SC kwa kupromoti michezo kwa kuonyesha mfano kwa vitendo kwa kucheza katika mechi mbalimbali. Spika Ackson amesema hayo wakati wa mechi maalum ya kirafiki kati ya Taswa SC na Bunge SC…

Read More

BANGALA, DJUMA KUPEWA MIKATABA MIPYA YANGA

MENEJA wa wachezaji wa Yanga, Djuma Shabani na Yanick Bangala, anayefahamika kwa jina la Faustino Mukandila, tayari ameshatua jijini Dar kwa ajili ya kufanya mazungumzo na viongozi wa timu hiyo ili kuongezewa mikataba kwa nyota wake hao wawili. Djuma Shabani na Bangala wote wamekuwa tegemeo ndani ya Yanga msimu huu ambapo wamefanikiwa kuwa sehemu ya…

Read More

MAYELE: KAZI MOJA NIMEMALIZA, BADO NYINGINE

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Kalala Mayele, amesema kuwa baada ya kumaliza zoezi lake la kwanza la kuipa ubingwa timu hiyo, kwa sasa anatafuta zoezi lake la pili la kuhakikisha kuwa anakuwa mfungaji bora mbele ya George Mpole wa Geita Gold ambaye wanafukuzana naye. Mayele na Mpole wote kwa sasa wamelingana katika kugombea tuzo ya ufungaji…

Read More

BREAKING:WAWA KUSEPA MAZIMA SIMBA

PASCAL Wawa beki wa kati wa Simba leo ameagwa rasmi na mabosi hao kwa kuweka wazi kuwa hataongezewa mkataba mwingine. Taarifa iliyotolewa na Simba leo Juni 21,2022 imeeleza namna hii:”Baada ya kutumikia timu yetu kwa misimu minne, Pascal Wawa hatakuwa sehemu ya kikosi chetu cha msimu ujao. “Mkataba wake utamalizika mwisho wa mwezi huu na…

Read More

TETESI ZA USAJILI ULAYA LEO JUMANNE, JUNI 21, 2022 …CHELSEA, ARSENAL, MAN UTD

Arsenal wanakaribia kumsajili mshambuliaji wa Brazil Raphinha kutoka Leeds United, huku nia ya Barcelona kumnunua mchezaji huyo wa miaka 25 ikiwa imepungua. (Goal – in Spanish) Chelsea wameungana na Tottenham kutaka kumsajili mshambuliaji wa Brazil Richarlison kutoka Everton, ambao wanataka zaidi ya £50m kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25. (Mail) Marina Granovskaia, ambaye…

Read More

KAMBOLE AOMBA JEZI NAMBA 7 YANGA

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Zambia ambaye ni ingizo jipya ndani ya Yanga, Lazarous Kambole, amesema kuwa angependa kutumia jezi namba 7 ndani ya Yanga huku akiweka wazi kuiomba jezi hiyo kwa matumizi ya msimu ujao akiamini kuwa ni namba ambayo anaipenda. Kwa upande wa Yanga, jezi namba 7 ilikuwa ikitumiwa na Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’, ambaye…

Read More

NYOTA MPYA YANGA AOMBA JEZI NAMBA 7

LAZAROUS Kambole mshambuliaji mpya ndani ya kikosi cha Yanga amesema kuwa anapenda kutumia jezi namba 7 kwa msimu mpya wa 2022/23. Raia huyo wa Zambia amesaini dili jipya ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Alitambulishwa ndani ya kikosi hicho Juni 16,2022 ikiwa ni siku moja baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa 28…

Read More

MAKOCHA HAWA WAINGIA RADA ZA SIMBA

TARIK Sektioui ambaye aliwahi kuifundisha RS Berkane ya Morocco ni raia pia wa Morocco anatajwa kuwa kwenye mazungumzo na Simba. Kocha huyu anatajwa kuwa miongoni mwa warithi wa Pablo Franco ambaye alifutwa kazi baada ya kupoteza mchezo wa Kombe la Shirikisho mbele ya Yanga. Kwa sasa timu hiyo ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu ambaye…

Read More

KAZI YA JOB MBELE YA COASTAL UNION ILIKUWA PEVU

DICKSON Job beki wa Yanga ni mtu wa kazi ambapo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union wakati Yanga wakitangazwa kuwa mabingwa aliweza kuwa kwenye ubora. Jumla alipiga pasi 80 na katika pasi hizo alizotoa ni moja pekee iliweza kupotea kwa kutofika mahali ambapo alikuwa anahitaji ifike. Katika pasi hizo mguu ambao anapenda kuutumia…

Read More

KIKOMBE CHA UBINGWA KILIACHWA MAPEMA,MIPANGO MUHIMU

 LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa zimebaki mechi tatu kwa baadhi ya timu na nyingine zikiwa zimebakiwa na mechi mbili kukamilisha mzunguko wa pili. Inaonekana kwamba ilikuwa ligi ngumu na yenye ushindani mkubwa ambapo kila timu ilikuwa inapambana kufanya vizuri tangu mwanzo wa msimu. Hapa kuna picha nzuri ambayo imeweza kutengenezwa hasa kwenye upande wa…

Read More

PASI ZA BWALYA SIMBA KAMA DAKIKA ZAKE

RALLY Bwalya, mchezo wake wa kuagwa na mabosi zake Simba ilikuwa mbele ya KMC alitumia dk 88 na alipiga pasi 88 kati ya hizo mbili hazikuwafikia walengwa na muelekeo wake ulikuwa ni kwa Pape Sakho. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Mkapa, Juni 19 na Simba iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 ambapo watupiaji walikuwa…

Read More