
VIWANJA VINNE KUJENGWA SIMBA,MPANGO KAZI UPO HIVI
BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa wana mpango wa kuwa na viwanja vinne kwenye eneo la Simba Mo Arena,Bunju kwa ajili ya matumizi ya timu hiyo. Jana, Barbara aliongozana na msanifu majengo, (Architect) eneo la Bunju kukagua mipaka ya eneo ambalo litatumika kwenye ujenzi kabla ya Bodi ya Wakurugenzi kukutana Ijumaa ili kumpitisha…