
DODOMA JIJI KAZINI LEO KUWAKABILI VINARA WA LIGI
LIGI Kuu Tanzania Bara leo Mei 15,2022 inaendelea ambapo vinara Yanga wanatarajiwa kumenyana na Dodoma Jiji. Wakiwa na pointi 57, Yanga watamenyana na Dodoma Jiji iliyo nafasi ya 8 na pointi 28. Timu zote zimecheza mechi 23 hivyo utakuwa ni mchezo wao wa 24 ndani ya msimu wa 2021/22. Kocha Mkuu wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema…