MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa isingekuwa ni matumizi ya teknolojia ya Video Assitance Referee, (VAR) Simba ingekuwa imetinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho. Aprili 24, wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa walitolewa kwenye hatua ya robo fainali kwa changamoto za mikwaju ya penalti mbele ya Orlando Pirates ambao…
OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli ameweka wazi kwamba wanakwenda kuvunja rekodi kwa msimu huu na kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Simba, Aprili 30 wataifunga Simba na kuchukua pointi tatu muhimu.
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kuwa deni kubwa alilobakiza kwa sasa ni kuifunga Simba pekee, mara baada ya kumalizana na Namungo kama ambavyo aliwaahidi mashabiki. Mayele Jumamosi alifanikiwa kuifungia Yanga bao moja katika ushindi wa mabao 2-1 walioupata dhidi ya Namungo FC kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Mara baada ya kufanikiwa kuifungia Yanga bao…
SHOMARI Kapombe beki wa kazi ngumu kimataifa mwenye mabao mawili na pasi mbili amesema kuwa alimwambia kipa wa Orlando Pirates, ‘Maharamia’ ninakufanga na kweli alimfunga. Kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali uliochezwa nchini Afrika Kusini wakati wa mapigo ya penalti baada ya jumla ya mabao ya kufungana kwa Simba kuwa 1-1, kipa wa Orlando…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 30 2022 kazi iwe ni moja tu mpira kuchezwa kwa ustaarabu huku kanuni zikifuatwa. Imekuwa kawaida kwa wengi kuhudhuria mchezo huu huku miongoni mwao wakiwa na matokeo ambayo wanayajua kwenye vichwa vyao na wakiamini kwamba itakuwa ni vile ambavyo wanafikiiria. Kama itakuwa…
AHMED Ally, Mkuu wa Kitengo cha Habari ndani ya Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Yanga. Aprili 30,2022 Simba itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kiungo huyo amesema kuwa wanatambua mchezo utakuwa na ushindani mkubwa lakini wanaamini itakuwa kazi…
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa lengo lao ni kutwaa ubingwa wa ligi msimu huu na kuelekea kwenye mchezo dhidi ya Simba wanaamini kwamba watapata matokeo. Akizungumza kwenye mahojiano maalumu leo kwenye kipindi cha Global Radio amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30. Bumbuli amesema:”Tunajua kwamba mchezo…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa Henock Inonga beki wa Simba ni moja ya wachezaji wazuri lakini wanapenda kucheza na jukwaa. Inonga ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Pablo Franco ndani ya Simba anapewa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza Aprili 30 mbele ya Yanga. Manara amesema:“Inonga ni beki mzuri lakini sijui…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
HAWAAMINI macho yao imefika ukingoni kwa mashabiki wa Simba nao kutoamini walichokiona kwa wachezaji wao kushindwa kufikia lengo la kutinga hatua ya nusu fainali. Kupoteza kwa kufungwa penalti 4-3 mbele ya Orlando Pirates kumezima matarajio ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kutinga hatua ya nusu fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Hesabu zilikuwa…
KIUNGO wa kikosi cha Manchester United, Paul Poga atasepa msimu ujao ndani ya kikosi hicho ambacho kinashiriki Ligi Kuu England. Nyota huyo tayari ameshawaambia wachezaji wenzake kwamba msimu ujao hatakuwa ndani ya timu hiyo. Pia inatajwa kwamba ameshajiondoa kwenye kundi la WhatsApp ambalo lilikuwa linawahusu wachezaji wa timu hiyo. Kocha wa muda wa Manchester United,…
NAHODHA wa kikosi cha Yanga ambaye ni beki Bakari Mwamnyeto amesema kuwa lengo lao kubwa kwa msimu huu wa 2021/22 ni kuweza kutwaa mataji ili kurejesha furaha kwa mashabiki wa Yanga. Ndani ya ligi Yanga ambao ni vinara wa ligi walikuwa ni mashuhuda misimu minne mfululizo ubingwa ukielekea kwa watani zao wa jadi ambao ni…
STAA wa Klabu ya Geita Gold ambaye ni namba moja kwa utupiaji ndani ya timu hiyo anatajwa kuwa kwenye rada za watoza ushuru wanaopiga mpira kodi,mpira mapato Klabu ya KMC. Ni George Mpole ambaye ni mshambuliaji namba moja ndani ya Geita Gold inayonolewa na Kocha Mkuu, Felix Minziro. Kibindoni katupia mabao 10 ndani ya ligi…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba unazitaka pointi tatu za watani zao wa jadi Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ni Aprili 30,2022 Yanga inatarajiwa kumenyana na Simba kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanatambua kuhusu umuhimu wa mchezo huo na wataingia uwanjani kwa nidhamu…
Katika kuadhimisha siku ya Malaria Duniani kwa mwaka 2022, kampuni ya michezo ya kubashiri, Meridianbet, imeungana na watanzania na dunia kwa ujumla katika kuongeza nguvu kwenye mapambano makali dhidi ya ugonjwa wa Malaria. Ugonjwa wa Malaria unaripotiwa kuwa chanzo cha vifo vya watoto (hasa wenye umri chini ya miaka 5) na hivyo kwa sehemu kubwa,…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa hajui jambo gani ambalo lilitokea kwenye matumizi ya VAR hivyo hapendi kuzungumzia jambo hilo. Simba ilikuwa inawakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa imetolewa kwa kufungwa penalti 4-3 dhidi ya Orlando Pirates baada ya kuwa na jumla ya kufungana bao 1-1. Walianza Simba kushinda mchezo wa kwanza Uwanja…