YANGA WAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA SIMBA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba unazitaka pointi tatu za watani zao wa jadi Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ni Aprili 30,2022 Yanga inatarajiwa kumenyana na Simba kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanatambua kuhusu umuhimu wa mchezo huo na wataingia uwanjani kwa nidhamu…