KIMATAIFA Sadio Kanoute raia wa Mali ameyeyusha jumla ya dk 419 hizi ni kwenye mechi za hatua ya makundi ndani ya Simba
Katupia bao moja dk 62 ilikuwa mbele ya USGN Uwanja wa Mkapa tupo naye kwenye mwendo wa data kiungo mgumu ndani ya Simba.
Bao lake alitupia kwa mguu wa kulia akiwa ndani ya 18 na ameonyeshwa kadi za njano 3
Kadi za njano
1 dk 45 mbele ya RS Berkane
1 dk 44 mbele ya USGN Uwanja wa Mkapa
1 dk 67 mbele ya USGN ugenini
Mechi zake
Dk 73 mbele ya ASEC
Dk 90 mbele ya USGN ugenini
USGN dk 90, nyumbani
RS Berkane ugenini dk 76
RS Berkane nyumbani dk 90.