KOCHA NABI ATAJA MAMBO MATANO YA MAYELE
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametaja mambo muhimu ya Fiston Mayele yanayofanya aweze kuanza moja kwa moja kikosi cha kwanza. Mayele ni mtupiaji namba moja ndani ya Yanga akiwa ametupia mabao 10 na pasi tatu katika mechi 17 ambazo Yanga imecheza ikiwa na pointi 45 kibindoni. Nabi amesema kuwa Mayele ana mambo mengi ya…