URENO imefuzu kucheza mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Turkey.
Mabao ya Otavio Edmilson da Silva Monteiro dk 15,Diogo Jota dk 42 na Mathew’s Nunes dk 90+4.
Bao la Burak YiLmaz dk 65 lilikuwa ni la kufutia machozi kwa Turkey Uwanja wa do Dragao.
Mchezo wa fainali unatarajiwa kuchezwa Machi 29 itakuwa ni kati ya Ureno dhidi ya North Macedonia iliyoshinda mbele ya Italia itakuwa ni Uwanja wa do Dragao.