
SAKA HATIHATI KUIVAA MANCHESTER UNITED
WAKATI Arsenal wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kwa sasa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester United kuna hatihati ya kuweza kukosa huduma ya nyota Bukayo Saka. Licha ya matumaini kuwa makubwa bado mpaka sasa haijathibitishwa kwamba nyota huyo anaweza kucheza ama la mbele ya Manchester United. Ikumbukwe kwamba Saka ambaye…