DAKIKA 45 YANGA WANAULIZA NYIE HAMUOGOPI

WAKIWA Uwanja wa Sokoine Mbeya vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanauliza eti :’Nyie Hamuogopi’ baada ya kwenda mapumziko wakiwa vifua mbele. Dakika 45 zimekamilika na ubao wa Uwanja wa Sokoine unasoma Mbeya Kwanza 0-2 Yanga. Kipindi cha kwanza Yanga wametawala mchezo ambapo wamefunga mabao mapema kabisa ndani ya dakika 20 za awali. Ilikuwa ni…

Read More

SPORTPESA KUDHAMINI TIMU YA WABUNGE

KAMPUNI ya michezo na burudani ya SportPesa leo Novemba 30 imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia kushiriki mashindano ya mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mkoani Arusha. Makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa habari ofisi za Bunge kabla ya kuanza…

Read More

KILA MCHEZAJI KUCHEZA NDANI YA SIMBA

KOCHA mkuu wa Simba, Pablo Franco ameweka wazi kuwa anataka kuona kila mchezaji wa timu hiyo anapambana kuhakikisha anafanya bidii mazoezini kila anapopewa nafasi kwa kuwa amepanga kumpa kila mchezaji nafasi ya kucheza.   Pablo Jumapili aliiongoza Simba kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam, kwenye mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika…

Read More

BOSI MPYA MANCHESTER UNITED KUANZA NA ARSENAL

KLABU ya Manchester United imemtangaza Ralf Rangnick kuwa kocha wa muda wa kikosi hicho mpaka mwishoni mwa msimu huu wa 2021/22 akichukua nafsi ya kocha Ole Gunnar Solskjaer aliyefutwa kazi wiki iliyopita. Rangnick atasalia Manchester United pindi mkataba wake wa miezi 6 kama kocha wa muda utakapo salia lakini atakuwa na jukumu la kuwa mshauri…

Read More

RATIBA LIGI KUU BARA LEO

NOVEMBA 30 raundi ya 7 inazidi kukatika taratibu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/22. Baadhi ya mechi zimechezwa na tumeshuhudia hat trick ya kwanza ikipigwa Uwanja wa Nelson Mandela, wakati Tanzania Prisons ilipocjeza na Namungo FC. Leo ratiba inaendelea ambapo itakuwa namna hii:- Biashara United ya Mara dhidi ya Polisi Tanzania…

Read More

BARBARA:WACHEZAJI WANAOMBA KUCHEZA SIMBA

WACHEZAJI wanaomba kucheza Simba MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ameweka wazi kuwa wachezaji wengi wanaomba kucheza ndani ya kikosi cha timu hiyo. Kwa sasa Simba ni timu pekee ambayo inakibarua cha kupeperusha bendera kimataifa ikiwa inashiriki Kombe la Shirikisho baada ya kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wake wa kwanza katika Kombe la…

Read More

YANGA YAINGIA ANGA ZA MSHAMBULIAJI HUYU MATATA

  IMEELEZWA kuwa mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Mbeya Kwanza, Chrispin Ngush jina lake limependekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi aweze kusajiliwa. Inatajwa kwamba kamati ya Usajili ya Yanga nayo pia haijapinga hoja hiyo na badala yake imeweka watu maalumu kwa ajili ya kumfuatilia nyota huyo Ngushi ni kinara wa mabao…

Read More