KMC YAIZIMA AZAM FC,YASHINDA MARA YA KWANZA

IKIWA Uwanja wa Uhuru, leo Novemba 21 Klabu ya Azam FC imepoteza pointi tatu mazima mbele ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo wa leo unakuwa ni wa kwanza kwa KMC kushinda ndani ya ligi kwa kuwa katika mechi tano zilizopita haikuwa inajua ushindi upoje kwa msimu wa 2021/22. Bao la kwanza lilipachikwa…

Read More

MO AMETOA BILIONI 5.2 SIMBA MBALI NA ILE BILIONI 20

LEO Novemba 21, Klabu ya Simba imefanya Mkutano Mkuu na Wanachama ambao umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere ambapo viongozi mbalimbali walikuwepo kwenye mkutano huo. Akisoma ripoti ya fedha ya bajeti ya mwaka uliopita wa 2020,Mkuu wa Kitengo cha Fedha,Utawala na Uendeshaji, Yusuph Nassor amesema kuwa kwenye bajeti ya mwaka uliopita…

Read More

SIMULIZI YA WEZI WALIORUDISHA NDINGA WENYEWE

SIMULIZI ya wezi waliorejesha ndinga waliyoiba Imepita miaka sita tangu gari langu aina ya Toyota Hilux lilipopotea nilijaribu juu chini kulitafuta lakini wapi halikupatikana,nakumbuka vizuri jinsi kisa hicho kilipotokea. Nilikuwa nafanya kazi na kampuni moja maarufu sana nchini nikiwa kama mfanyakazi wa kawaida hadi nilipopandishwa madaraka hadi nikawa meneja. Maisha yangu yakachukua mkondo mwingine nikaanza…

Read More

BREAKING:OLE GUNNAR AFUTWA KAZI MANCHESTER UNITED

RASMI leo Novemba 21 Klabu ya Manchester United imethbitisha kuachana na Ole Gunnar Solskjaer ambaye ataondoka ndani ya timu hiyo kwenye majukumu ya kuwa kocha baada ya kushindwa kushinda taji lolote ndani ya miaka mitatu na Michael Carrick atachukua mikoba yake kwa muda kabla ya kocha mpya kuchaguliwa atakayemaliza msimu huu wa 2021/22. Solskjaer alisaini…

Read More

KMC V AZAM FC KUKIWASHA LEO

UWANJA wa Uhuru leo unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kukata na shoka kati ya KMC, Wanakino Boys dhidi ya Azam FC hawa matajiri wa Dar. Utakuwa ni mchezo wa 7 kuwakutanisha kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo rekodi zinaonyesha kwamba Azam FC wamekuwa wababe mbele ya KMC. Azam FC ni mara tatu imeshinda huku…

Read More

MALENGO YA SIMBA NI KUTWAA MATAJI

MIRTAZA Mangungu, Mwenyekiti wa Klabu ya Simba amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kuhakikisha kwamba wanashinda mataji. Simba ni mabingwa watetezi wa ligi wakiwa nafasi ya pili na pointi 14 huku Yanga wakiwa ni vinara wa ligi na wana pointi 16. Maneno hayo ameyasema katika mkutano mkuu wa Wanachama wa Simba ambao unafanyika…

Read More

MANCHESTER UNITED WANYOOSHWA UGENINI

DAVID De Gea kipa namba moja wa Manchester United amesema kuwa wapo kwenye wakati mgumu kwa sasa kutokana na matokeo ambayo wanayapata ila wanawashukuru mashabiki kwa namna ambavyo wanakuwa nao. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Watford 4-1 Manchester United. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Vicarage Road licha ya uwepo wa Cristiano Ronaldo…

Read More

ARSENAL YAPIGWA 4G

KLABU ya Liverpool imeishushia kichapo cha mabao 4-0 Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa Uwanja wa Anfield. Mabao ya Sadio Mane dakika ya 39,Dogo Jota dakika ya 52,Mohamed Salah dakika ya 73 na Takumu Minamino dakika ya 77 yalitosha kuituliza Arsenal. Ni jumla ya mashuti 19 ambayo Liverpool ilipiga huku 9 yakilenga lango katika…

Read More