>

KOCHA MPYA SIMBA AANZA KAZI RASMI LEO

LEO Novemba 16, Kocha Mpya wa Viungo wa Klabu ya Simba, Don Daniel De Castro ameanza kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Kocha huyo wa viungo amechukua mikoba ya Adel Zraine raia wa Tunisia ambaye alisitishiwa mkataba wake Desemba 26. Jana, Novemba 15 alitambulishwa rasmi kwa mashabiki na…

Read More

SIMULIZI YA MREMBO ALIYESHINDA MATAJI MENGI

SIMULIZI ya mrembo ambaye arirejesha urembo wake baada ya ngozi yake kupata matatizo Jina langu ni Anyango kutoka katika kauti ya Kisumu. Ama kwa hakika nilikuwa mtu ambaye nilikuwa nathamini kwa hali yoyote urembo wangu. Nilikuwa mwanamitindo ambaye nilienda katika mashindano katika ukanda huu wa Afrika Mashariki kila mara. Sikutaka kuwa na kitu chochote kilichikuwa…

Read More

AIR MANULA NA DAKIKA ZAKE BONGO

  KWA upande wa makipa ambao kazi yao namba moja ni kuzuia mipira kupita kwenye lango lake ni Aishi Manula yeye ni kinara kwa makipa ambao hawajaruhusu kufungwa ndani ya dakika 450. Akiwa amecheza mechi tano zte za Simba msimu huu wa 2021/22 Manula amekuwa mhimili kwenye upande wa ulinzi na kulifanya lango kuwa salama…

Read More

YANGA YAACHANA NA KIUNGO MAZIMA

YANGA imeachana na aliyekuwa nyota mpya ndani ya klabu hiyo ambaye alikuwa akisubiri dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kusaini mkataba mpya ambaye ni raia wa Ghana, Geofrey Nyarko. Nyota huyo alijiunga na Yanga baada ya kufungwa kwa dirisha kubwa la usajili akiwa mchezaji huru kwa ajili ya kufanya majaribio ndani ya kikosi hicho….

Read More

DEMBELE AKATWA MKWANJA HUKO KISA DAKIKA TATU

OUSMANE Dembele, nyota wa kikosi cha Barcelona amekuwa wa kwanza kukutana na balaa la kocha mpya, Xavi Hernandez kisa kuchelewa kwenye mazoezi kwa muda wa dakika tatu pekee. Kwa kosa hilo ambalo amefanya amekutana na ishu ya kukatwa mkwanja mrefu kwenye mshahara wake hivyo asitarajie kupewa mshahara wake kamili kwa mwezi huu kwa kuwa amesharikoroga…

Read More

FEI TOTO:NAPENDA KUONA TIMU INASHINDA

FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amebainisha kuwa jambo ambalo analipenda akiwa uwanjani ni kuona timu yake inashinda. Fei ni namba moja kwa utupiaji ndani ya kikosi cha Yanga akiwa ametupia mabao matatu na pasi moja kati ya tisa ambayo yamefungwa na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Katika mechi tano ametumia jumla ya…

Read More