
YANGA WASEPA NA TUZO ZAO MAZIMA
WASHINDI wa tuzo ndani ya Ligi Kuu Bara Tanzania ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika kwa Machi wamesepa na tuzo zao mazima baada ya kukabidhiwa Aprili 7 2025 Uwanja wa KMC Complex. Tuzo hizo walikabidhiwa na wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya NBC benki ya NBC ilikuwa ni kwa Prince Dube ambaye ni mshambuliaji…