


Maya’s Treasure Kasino| Inalipa Kirahisi
Bilas haka umewahi kuisikia hadithi ya Eldorado. Hadithi ambayo inatoka kwa Wahindi wa Amerika Kusini inasema kwamba Eldorado ni mkoa ambao una utajiri mwingi. Jisajili na Meridianbet kwa ushindi mkubwa. Meridianbet na Expanse wanakuletea mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni wa Maya’s Treasure. Unaelezea mtaalam wa akiolojia mchanga wa Kiingereza, mwenye akili na wa…

YANGA HII UNAIFUNGAJE?
YANGA hii unaifungaje? Mashabiki wametuma tambo kimtindo kwa watani zao wa jadi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkapa. Ngoma imemalizwa dakika 44 za kipindi cha kwanza baada ya Simba kufanya makosa kwenye kuokoa mpira ambao ulionekana hauna madhara kwenye miguu…

MAXI NZENGELI AWATUNGUA SIMBA NGAO YA JAMII
YANGA wametumia dakika 44 kuwaadhibu Simba katika Ngao ya Jamii mchezo wa nusu fainali Uwanja wa Mkapa kukiwa na dakika 45 za kipindi cha pili zimebaki. Maamuzi ya haraka kwa wachezaji wa Yanga katika kutoa pasi yamewapa wakati mgumu Simba katika eneo la ulinzi linaloongozwa na Che Malone Fondoh. Bao la kuongoza ni mali ya…

MATAJIRI AZAM HAO FAINALI NGAO YA JAMII
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wametinga hatua ya fainali Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 5-2 Coastal Union katika hatua ya nusu fainali. Ni Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar nusu fainali ya kwanza imechezwa anasubiriwa mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Yanga na Simba, Uwanja wa Mkapa Sillah alipachika bao dakika…

AZAM FC NA COASTAL UNION ZAPIGANA MKWARA
KUELEKEA kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya matajiri wa Dar, Azam FC dhidi ya Wagosi wa Kaya, kutoka Tanga, Coastal Union maofisa habari wa timu zote mbili wamepigana mikwarakwa kubainisha kuwa wote wanahitaji ushindi. Kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar mshindi atakutana na Yanga…

Vibe la Aviator! Mamilioni Yakungonja Kasino
Kuwa rubani wa maisha yako kwa kurusha ndege ya Aviator, iliyopo Meridianbet, huu ni mchezo wa kasino ya mtandaoni ambao unapendwa na watu wengi. Unachotakiwa kukifanya ni kuanza safari yako kwa kurusha ndege umbali mrefu Zaidi, huku ukiwa makini kabla haijaanguka chini unatakiwa uwe umekatisha safari yako na kuvuna pointi zako. Jisajili na Meridianbet…

GAMONDI ATUMA UJUMBE MZITO SIMBA
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali kati ya Simba dhidi ya Yanga, Miguel Gamondi ametuma ujumbe mzito kwa wapinzani wake akibainisha kwamba hawana hofu kuwakabili wapinzani hao uwanjani. Ipo wazi kuwa Agosti 8 2024 inatarajiwa kuchezwa Kariakoo Dabi katika Ngao ya Jamii ikiwa ni hatua ya nusu fainali, fainali inatarajiwa…

AMEKABIDHIWA MIKOBA MIGUMU SIMBA MWAMBA HUYU
AMEKABIDHIWA mikoba migumu ndani ya Simba mwamba Deborah kutokana na uzi atakaotumia kuwa na namba iliyoacha rekodi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.

NGAO YA JAMII: MAKOCHA WA YANGA NA SIMBA WAFUNGUKA UGUMU WA MCHEZO WA NUSU FAINALI KESHO- VIDEO
Makocha wa Yanga na Simba wameelezea ugumu wa mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya timu hizo Agosti 8 wakitahadharisha kwamba klabu zao zitacheza kwa makini ili kupata ushindi. Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi na Fadlu Davids wa Simba wameeleza hayo Dar es Salaam leo wakati wakizungumza na waandishi wa habari…

MASHABIKI NANE WA SOKA KWENDA DUBAI KUPITIA PROMOSHENI YA PARIMATCH NA AIRTEL
JUMLA ya mashabiki nane wa soka watapata fursa ya kutembelea nchini Dubai endapo watashinda tiketi kupitia promosheni ya Dubai Kumenoga ilitoziduliwa na Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch kwa kushirikiana na Airtel Tanzania kupitia huduma za Airtel Money. Promosheni hiyo ni muendelezo wa kampeni kubwa iliyomalizika ya Zigo la Euro 2024 nchini Ujerumani ambapo mashabiki…

VIBE LA CHUI SIO LA KITOTO HUKO
KAZI inaendelea ambapo tamasha lingine kubwa linatarajiwa kufanyika Uwanja wa Liti, Singida ikiwa ni utambulisho wa wachezaji wapya na benchi la ufundi. Ni Singida Black Stars wameweka wazi kuwa kutakuwa na burudani kubwa katika kilele cha Big Day,Uwanja wa Liti Agosti 10 2024 ambapo kutakuwa na mchezo wa kirafiki utakaokuwa na ushindani mkubwa. Hilo ni…

TANZANITE DAY YAPAMBA MOTO
UONGOZI wa Fountain Gate umeweka wazi kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kuelekea Tanzanite Day linalotarajiwa kufika kilele chake rasmi Agosti 9 2024 ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kila kitu kipo kwenye mpangilio wake. Maandalizi yamepamba moto kwa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara kukamilisha usajili wa…

EXPANSE KASINO INALIPA, CHEZA NA USHINDE MAMILIONI
Expanse na Meridianbet ni mapacha kwa sasa unaweza kuvuna Mamilioni kwa kucheza michezo ya kasino kutoka Expanse. Jisajili na Meridianbet kufurahia promosheni kibao Kupitia shindano la michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino na Sloti ambayo inaweza kukufanya kuwa Milionea….

ELLY SASII ACHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI YA KARIAKOO DERBY
Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya Kariakoo Derby kati ya Young Africans dhidi ya Simba mnamo Agosti 8, 2024 katika dimba la Mkapa ➡️ Mwamuzi Ahmed Arajiga atachezesha mechi ya Azam dhidi ya Coastal Union mnamo Agosti 8, 2024.

ALMAS KASONGO: BODI YA LIGI ITATOA ADHABU KWA MAOFISA HABARI WA TIMU WANAOCHEKESHA NA KUSHINDWA KUZUNGUMZIA MPIRA
Afisa mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania ( TPLB ), Almas Kasongo ameeleza kuwa msimu ujao watatoa adhabu kwa maofisa habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira. “ Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na kujiuliza, huyu ni kiongozi wa timu au mchekeshaji? Niseme tu ndugu zangu, msimu ujao tutadili na watu…

PSG YASHINDA MBIO YA KUWANIA SAINI YA KIUNGO JOAO NEVES BAADA YA KUKAMILISHA DILI
Klabu ya PSG imeshinda mbio ya kuwania saini ya kiungo Joao Neves baada ya kukamilisha dili hilo kwa dau la Euro milioni 70 akitokea Benfica ya Ureno. Neves (19) raia wa Ureno amesaini mkataba wa miaka mitano. Baada ya kuwika na miamba hiyo ya Ureno msimu uliopita Manchester United na PSG walijikuta kwenye vita kali…